SERIKALI YATOA WITO KWA WADAU WA AFYA KUTATUA CHANGAMOTO YA WATUMISHI SEKTA YA AFYA

Na Mwandishi wetu – New York, Marekani. Serikali kupitia Wizara ya Afya, imewataka Wadau wa Sekta ya Afya kuimarisha ushirikiano ili kutatua changamoto zinazokabili eneo la rasilimali watu wa sekta ya afya.  Wito huo umetolewa na Waziri wa Afya Mhe Ummy Mwalimu wakati akishiriki mjadala uliofanyika jijini New York, Marekani pembezoni mwa Mkutano wa 77